Home > Terms > Swahili (SW) > kuongoza kutoka nyuma

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu umeweza kuibua malumbano mengi kati ya Ikulu na Jarida la The New Yorker ambalo lilichapisha makala asilia ya yakimweleza mshauri wa Obama na kuonyesha vitendo vya Rais kule Lybia kuwa "kuongoza kutoka nyuma." Ikulu ya White House imekana kuwahi kutumia msemo huo.

Kinyume na Kampeni nyingi zilizoongozwa na Marekani Uarabuni, ambazo ziliwalenga Saddam Hussein wa Iraq na kundi la Taliban kule Afghanistan, Marekani ilichukua jukumu la pili kwenye vita vilivyoongozwa na Ufaranza huko Lybia ambavyo vilipelekea kukamatwa na kuuawa kwa Muammar Gaddafi.

0
Tilføj til Min ordliste

Hvad vil du sige?

Du skal logge på for at sende kommentarer til diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

Jonah Ondieki
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlister

  • 1

    Followers

Branche/domæne: Government Category: American government

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu ...

Bidragyder

Featured blossaries

Mars

Kategori: Science   2 5 Terms

Russian Musicians

Kategori: Arts   1 20 Terms