Home > Terms > Swahili (SW) > msaada uliopachikwa

msaada uliopachikwa

Msaada uliopachikwa ni nyaraka zinazoonekana kwenye dirisha, kiwamba, au kichupo ndani ya programu. Kinyume na msaada unaozingatia yaliyomo, watumiaji hawabonyezi kibonye au kusongeza kipanya juu ya ugha kwenye kiolesura cha programu ili waone matini ya usaidizi. Pia, usaidizi uliopachikwa hauwezi kufunguliwa kihuru kutoka kwa programu.

0
Tilføj til Min ordliste

Hvad vil du sige?

Du skal logge på for at sende kommentarer til diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlister

  • 1

    Followers

Branche/domæne: Festivals Category: Christmas

malaika

Wajumbe wa Mungu ambao walijionyesha kwa Wachungaji wakitangaza kuzaliwa kwa Yesu.