Home > Terms > Swahili (SW) > mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (CMS)

mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (CMS)

Mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (CMS) ni kifaa cha programu ambacho hutoa usimamizi na utawala wa uandishi, ushirikiano na kufanya otomatiki uzalishaji wa waraka. CMS hurusu nambari kubwa ya waandishi na wafanyi kazi wengine wa maarifa kufanya kazi kwa kushirikiana kuchangia kuendeleza yaliyomo. Hukuza udhibiti mzuri kwa kuinua yaliyomo yaliyoko, ufanisi uliohimarika kwa kuzuilia juhudi rudufu na za kujirudia, na gharama za uandishi kijumla zilizopunguka. CMS pia hufanya utafsiri wa yaliyomo kuwa rahisi zaidi kwa sababu hutenganisha matini kutoka kwa tagi ya uumbizaji.

Ikijumlishwa na XML, CMS hurusu yaliyomo kukuzwa mara moja na kuchapishwa kwa aina mbali mbali ya matokeo kama vile wavuti, PDF au nyaraka zilizochapishwa.

0
Tilføj til Min ordliste

Hvad vil du sige?

Du skal logge på for at sende kommentarer til diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlister

  • 3

    Followers

Branche/domæne: People Category: Sportspeople

Floyd Mayweather (almasi, Watu, wanaspoti)

Kuzaliwa Floyd Sinclair juu ya Februari 24, 1977, Marekani mtaalamu wa ndondi. Yeye ni tano-mgawanyiko bingwa wa dunia, ambapo alishinda vyeo dunia ...