Home > Terms > Swahili (SW) > Halloween

Halloween

Inajulikana pia kama All Hallow's Eve, Halloween ni likizo ya mwaka inayosherehekewa tarehe 31 Oktoba katika Marekani, Canada, na Uingereza. Ni eti siku moja kwa mwaka wakati kizuizi kati ya dunia ya kimwili na kiroho ni nyembamba sana. Kwa kusherehekea Halloween, watoto watachonga malenge.

0
Tilføj til Min ordliste

Hvad vil du sige?

Du skal logge på for at sende kommentarer til diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlister

  • 12

    Followers

Branche/domæne: Communication Category: Postal communication

deltiology

Deltiology inahusu ukusanyaji na masomo ya Postikadi, kwa kawaida kama hobi.