Home > Terms > Swahili (SW) > makamu wa rais

makamu wa rais

Jukumu kubwa la makamu wa rais ni kuchukua urithi wa urais iwapo rais atajiuzulu,atatolewa au hata kufariki.

Jukumu lingine la kikatiba kwa makamu wa rais ni kuongoza bunge la senate la Marekani na kutumia kura yake kuamua pale ambapo pande zote mbili zinalingana. Hali hii hukiukwa tu pale ambapo bunge la senate linatekeleza jaribio la kumwondoa rais mamlakani.

Katika miaka ya hivi karibuni,makamu wa rais wamechukua majukumu makubwa zaidi ya kusimamia sera za kitaifa na kimataifa ambazo ni za hadhi ya juu.

0
Tilføj til Min ordliste

Hvad vil du sige?

Du skal logge på for at sende kommentarer til diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlister

  • 12

    Followers

Branche/domæne: Internet Category: Network services

Net neutralitet

sheria uliopitishwa hivi karibuni na FCC, baki Net inahitaji watoa mtandao broadband kuwa detached kabisa na taarifa kwamba ni alimtuma juu ya ...

Bidragyder

Featured blossaries

Prestigious Bottles of Champagne

Kategori: Food   1 10 Terms

Famous Weapons

Kategori: Objects   1 20 Terms

Browers Terms By Category