Home > Terms > Swahili (SW) > kikombe ya karatasi

kikombe ya karatasi

kikombe ya karatasi ni kikombe kilichotengenezwa kutoka kwa karatasi na mara nyingi kina mistari ya plastiki au nta ili kuzuia maji kuvuja nje au kulowa kwa karatasi. karatasi ya msingi ya vikombe vya karatasi zinaitwa 'bodi ya kikombe' na hutengenezwa kwa mashine maalum ya karatasi ya nyenya mbalimbali na mipako kizuizi ya kuzuia maji ya mvua. Karatasi inahitaji ugumu wa juu na nguvu ya maji ya kugawa. Gredi ya bodi ya kikombe una rasimu maalum ya mchakato wa kuunda kikombe. Mchakato wa kutengeneza kinywa biringa inahitaji sifa nzuri ya kurefuka kwa bodi na mipako ya plastiki.

0
Tilføj til Min ordliste

Hvad vil du sige?

Du skal logge på for at sende kommentarer til diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

ongaka yusuf walela
  • 0

    Terms

  • 1

    Ordlister

  • 0

    Followers

Branche/domæne: Language Category: Grammar

lugha tenganishi

lugha tenganishi inaunda lugha za mofimu moja (yaani, kwa mzizi bila udogo) huwa zinatumia maneno fupi pale ambapo lugha nyingine inatumia neno moja ...