Home > Terms > Swahili (SW) > jagi ya tobi

jagi ya tobi

Ni jagi ya ufinyanzi katika mfumo wa mtu ameketi, au kichwa cha mtu anayejulikana (mara nyingi mfalme wa Kiingereza). Kwa kawaida takwimu aliyeketi ni seti-nzito, mtu bashasha anayeshika kikombe ya bia katika mkono mmoja na bomba la tumbaku katika nyingine na kuvaa mavazi ya karne ya 18: kanzu ndefu na kofia ya tricorn. Kofia ya tricorn hunda pua ya kutia, mara nyingi na mfuniko ya kutolewa, na kono hukutanishwa kwa nyuma.

0
Tilføj til Min ordliste

Hvad vil du sige?

Du skal logge på for at sende kommentarer til diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

DEBORA KAYEMBE
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlister

  • 7

    Followers

Branche/domæne: Government Category: American government

Pamoja Chagua Kamati ya Kupunguza Nakisi

Pia inajulikana kama \"Kamati ya Super,\" Pamoja Chagua Kamati ya Kupunguza Nakisi inaongozwa na Republican Mwakilishi Jeb Hensarling ya ...