Home > Terms > Swahili (SW) > Ijumaa kuu

Ijumaa kuu

jina iliyopewa Ijumaa kabla ya Jumapili ya Pasaka, ambayo huadhimisha kusulubiwa kwa Yesu Kristo na kifo chake katika Golgotha. Inaelezwa kama 'Kuu' na Wakristo, kwani bila kusulubiwa hakungekuwa na ufufuo ya kuonyesha jinsi Mungu alishinda dhambi na mauti yenyewe.

Nyeusi (rangi ya huzuni na kilio) ni agizo kwa Ijumaa. Huduma makini inafanyika katika makanisa kama kumbukumbu ya matukio ya kusikitisha ya Ijumaa Kuu ya kwanza.

0
  • Del af tale: noun
  • Synonym(er):
  • Blossary:
  • Branche/domæne: Festivals
  • Category: Easter
  • Company:
  • Produkt:
  • Akronym-forkortelse:
Tilføj til Min ordliste

Hvad vil du sige?

Du skal logge på for at sende kommentarer til diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlister

  • 12

    Followers

Branche/domæne: Bars & nightclubs Category:

kilabu cha usiku

Pia inajulikana tu kama klabu, au disko ni ukumbi wa burudani ambao kwa kawaida huendelea usiku kucha. klabu cha usiku kwa ujumla kutofautishwa na baa ...